Zechariah 6:15

15 aWale walio mbali sana watakuja na kusaidia kulijenga Hekalu la Bwana, nanyi mtajua ya kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma kwenu. Hili litatokea ikiwa mtamtii Bwana Mwenyezi Mungu wenu kwa bidii.”
Copyright information for SwhKC